aisee...unataka makubwa wewehabari za leo natumai wote ni wazima. mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kua tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
hahah siku imekaribia lazima niweke waz hili jambo kwa kweli nampenda mnomkuu ubajilengesha siku mbaya hujui siku ya wapendanao imekaribia utahudumia mpk ukimbie mwenyewe
Una hela nikuunganishie?habari za leo natumai wote ni wazima. mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kua tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
Miss chagga unaitwa huku
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Miss chaga
Yuko kwenye list ya Mungu wa dar.
Sasa msubirie Kisutu tar. 14
Ila njoo na wana kwaya
Pia Sirro atakwepo
Pia mgambo watakuwepo
.....
..
Ukome mke wa mtu huyoo!habari za leo natumai wote ni wazima. mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kua tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
Hela gani unayo zungumziaUna hela nikuunganishie?
heeeeeeeeeeee polehabari za leo natumai wote ni wazima. mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kua tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
me nampenda kiuzuri tuuUkome mke wa mtu huyoo!
umejuaje nampenda kingono?Naona wimbi la members wapya kutafute wake/waume na kupenda watu kingono linazidi kushika kasi......Jamani ebu jaribuni kuziangalia hizi id za kutafuta wake/waume na mengine yafananayo na hayo mtaniambia