Nampenda sana miss chaga

Nampenda sana miss chaga

Tuchki

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
1,740
Reaction score
1,444
Habari za leo natumai wote ni wazima.

Mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kuwa tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
 
habari za leo natumai wote ni wazima. mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kua tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
aisee...unataka makubwa wewe
 
aissee wewe ni mgeni halaf tayar ushanza mambo yako,

subiri inabid akuchunguze kwanza
 
Miss chaga
Yuko kwenye list ya Mungu wa dar.
Sasa msubirie Kisutu tar. 14
Ila njoo na wana kwaya
Pia Sirro atakwepo
Pia mgambo watakuwepo
.....
..
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
habari za leo natumai wote ni wazima. mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kua tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
Ukome mke wa mtu huyoo!
 
heeeeeeeeeeee pole
 
Naona wimbi la members wapya kutafute wake/waume na kupenda watu kingono linazidi kushika kasi......Jamani ebu jaribuni kuziangalia hizi id za kutafuta wake/waume na mengine yafananayo na hayo mtaniambia
umejuaje nampenda kingono?
 
Back
Top Bottom