Nampenda sana miss chaga

Ungejitosa tu PM, mi nimejaribu... hajafunga pm yake kama wengine
 
Naona wimbi la members wapya kutafute wake/waume na kupenda watu kingono linazidi kushika kasi......Jamani ebu jaribuni kuziangalia hizi id za kutafuta wake/waume na mengine yafananayo na hayo mtaniambia
Upo sawa kabisa[emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Naona unatafuta company ya kukutembelea SEGEREA, hilo la Makonda lako Mkuu!
 
Kiki za kutongoza hizooo
Acha nicheke tuuπŸ˜€πŸ˜€
 
Alooo... Umetisha sana
 
Dah.. Itabidi ujipange kwelikweli... siyo wa mchezomchezo huyo.... [emoji12] [emoji12]
 

Attachments

huu upendo umezidi kukolea leo eeeh kuelekea kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…