Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
Ilibidi uweke wazi ... unampenda upendo upi?umejuaje nampenda kingono?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilibidi uweke wazi ... unampenda upendo upi?umejuaje nampenda kingono?
Upo sawa kabisa[emoji109] [emoji109] [emoji109]Naona wimbi la members wapya kutafute wake/waume na kupenda watu kingono linazidi kushika kasi......Jamani ebu jaribuni kuziangalia hizi id za kutafuta wake/waume na mengine yafananayo na hayo mtaniambia
makubwa gani mkuuaisee...unataka makubwa wewe
Sawa nasubiraissee wewe ni mgeni halaf tayar ushanza mambo yako,
subiri inabid akuchunguze kwanza
yaani siku zooote hizo humu wewe mgeni humuogopi...makubwa gani mkuu
ndo hivyo nampendaheeeeeeeeeeee pole
Ubajilengesha= unajilengeshamkuu ubajilengesha siku mbaya hujui siku ya wapendanao imekaribia utahudumia mpk ukimbie mwenyewe
Alooo... Umetisha sanaHabari za leo natumai wote ni wazima.
Mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kuwa tangu nijiunge jamii forum kuna member nimetokea kampenda na kumfurahia sana nae si mwingine bali ni miss chagga nampenda sana
nawasilisha
Asante mkuu najua tupo wengiWewe si wa kwanza kupata hali hii...
Kupoost =kupostUbajilengesha= unajilengesha
Msikurupuke kupoost jaman
ndo hivyo nampendaKiki za kutongoza hizooo
Acha nicheke tuu😀😀
Ndo = ndiyondo hivyo nampenda
Hahaaa bora baba kanipeleka mm ng'ombe kuliko ww nyumbu (jokes)Kupoost =kupost
Baba yako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe mwingine shuleni eeeh?