Nampenda sana miss chaga

mimi ni KE mkuu bora hata ningekua ME kumpenda miss chagga sio kosa
Hapo umesomeka nilidhani unataka kumgegeda mtoto wa watu kwa fix za kumpenda. Utakua umempenda kweli
 
kama sijawahi kukusaga why uniite hivyo
nimesoma btwn lines comments zako, na kwa kuunganisha uzi wako wa kumtaka mwanaume uliowahi kuleta humu. ndipo nikadhibitisha pasi shaka!!!

watu tunahangaika na uhaba wa "sukari". alafu wewe hata hii kidogo iliopo unataka uimwage? walaji hatutokubali huu upuzi.

wee mwanamke, mrudie RABUKA haraka.
 
sawa shukrani
 
sukari ipi mnayohangaikia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…