Tumezoeana kiasi cha kunifanya sasa hivi niwe serious na mpango wa kumwomba thawabu aliyojaliwa.
Wandugu naombeni ushauri wa kisaikolojia juu ya suala hili kwa kuwa na yeye yupo tayari kunipatia kwa sababu nilimjaribu kumwomba siku moja aliniambia niandae mazingira ya kujaza na kujaziwa.
Uadui kwa mwanaume (maana sijawahi kuwa mwanamke pengine nao ni vivyo hivyo) hutokana na masuala mawili K na pesa. Hivyo akishaikwida hiyo K ya mke wa rafiki yake ajihesabu kuwa ni adui yake namba moja.Mmekutana wote akili zenu zinafanana.
Angalia tu usije kuvunja urafiki na kutengeneza uadui kwa tamaa ya muda mfupi.
Kabisa ila unajua tatizo nini hajataka kuona mbali ndio maana.Uadui kwa mwanaume (maana sijawahi kuwa mwanamke pengine nao ni vivyo hivyo) hutokana na masuala mawili K na pesa. Hivyo akishaikwida hiyo K ya mke wa rafiki yake ajihesabu kuwa ni adui yake namba moja.