Cheology
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 384
- 601
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia.
Si upendo wa kiuchafuchafu ngonoana hapana. Nampenda alivyo tuuu hata sijui alikosaga vipi kuwa miss namba moja miaka ile.
Si upendo wa kiuchafuchafu ngonoana hapana. Nampenda alivyo tuuu hata sijui alikosaga vipi kuwa miss namba moja miaka ile.