Nampenda sana Nargis Mohamed

Cheology

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
384
Reaction score
601
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia.

Si upendo wa kiuchafuchafu ngonoana hapana. Nampenda alivyo tuuu hata sijui alikosaga vipi kuwa miss namba moja miaka ile.
 
Ukiona msichana anakuwa mama bado ni mrembo huyo ni mrembo kwa kuzaliwa
 
AU NDO WEWE MWENYEWE
 
Lundenga kawatembezea sana rungu la kipepe!! Mzee jau kweli yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ