Nampenda sana Nargis Mohamed

Nampenda Happiness Watimanywa..!
Warembo wote waliopita nampenda yeye
 
Huyu Si kanumba Alipita huyu
 
Unamchulia mzee wa watu! Kafa lini?
 
Kiukweli kwenye ile video ya professor zali la mentali,alikuwa pisi sanaaa.

Nilikuwa namkubali sana
 
Umeanza kufuatilia Miss TZ mwaka gani?

Mimi tangu enzi za Aina Maeda, wakati huo akichuana kindakindaki na Tabasamu Ngongoseko...

Kipindi hiyo habari za umiss tunazisoma kwenye Mzalendo na Uhuru...
Umekula chumvi nyingi sanaa
Mimi nimeanza kufatilia Mashindano mwaka 2013, nakumbuka Warembo walivaa nguo nyeupe wakawa wanakata viuno nyimbo ya Psquare Personally Nikavutiwa kuanza kufatilia.
 
Hahah Uncle Hasheem akikaa na kuwaangalia vijana wasasa anabaki kuwacheka tu, alijua kujipakulia minyama wallah.
 
Umekula chumvi nyingi sanaa
Mimi nimeanza kufatilia Mashindano mwaka 2013, nakumbuka Warembo walivaa nguo nyeupe wakawa wanakata viuno nyimbo ya Psquare Personally Nikavutiwa kuanza kufatilia.

Sio kihivyo, ni mtu ninayetumia muda mwingi kujua vitu vingi kadiri ubongo wangu unavyoweza...

Huku mbele sijawahi kuwa mnazi wa mashindano ya ulimbwende...

Niliacha kufuatilia mwaka 2015 hapo aliposhinda Lilian Kamazima, baada ya hapo kuna mamiss ninayemjua ni kama Queen Makune tu, wengine siwajui hata mmoja...

Zamani za Lundenga na wale wahindi wa White Sands walijua kuyaweka sawa hayo mashindano, ashukuriwe kisu kingine cha zamani cheusi mangala Basila Mwanukuzi kwa kuyaokoa mashindano hayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…