Nampenda sana Nargis Mohamed

Nimeelewa mkuu
 
Hivi bado anaishi?
 
....... kwakweli lundenga alistaafu na miss Tz yake, toka aachie hayajawahi kuwa na mvuto, huwa nadhani alistaafu kutokana na mamiss wa miaka ya 2000s kuendekeza skendo kutokana na umaarufu wanaopata.......hivi huyo wa 95 si ndo alishika taji la miss Tz akiwa form 3!?.......
 
Umeanza kufuatilia Miss TZ mwaka gani?

Mimi tangu enzi za Aina Maeda, wakati huo akichuana kindakindaki na Tabasamu Ngongoseko...

Kati ya wachuchu wote buana, kuna kitu kilikuwa kinaitwa Lisa Jensen...
Mpambano mkali wa ma miss ilikua Miss Ilala..Mbiki Msumi na Hoyce Temu....kisha ukahamia tena Miss Tanzania..Mbiki tena na Hoyce Temu
 
ephen_ usisikitike...

Pamoja na kwamba Nargis ni kisu lakini alichemsha kwenye kujibu maswali, Bahame alimzidi na yule mwingine namba 2 nimemsahau ngoja nitafute jina lake...

Ingawaje mamiss wa zamani Lundenga alikuwa anawachuja nafaka sana...
1st runner up alikuwa Doto Nusurupia (If I am not mistaken).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…