Nampenda sana Rais wangu Samia

Nampenda sana Rais wangu Samia

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Her cherish,
Her smartness
Kujichanganya
Anapenda mambo mazuri mazuri,
Hana makuu, ni mpenda watu, hapendi uzembe.

Lengo lake nchi yote ijengeke na kuwa nzuri kila mahala, msikivu, ana huruma, ameshika dini vizuri, ana subira, mwepesi kiakili, wa kungamua jambo na kulirekebisha, hakika tumezawadiwa kiongozi sahihi, anatamani ashibishe kila mtu, lakini linakuwa gumu, huwezi lisha watu milioni 60+

Inshaallah.
 
His cherish,
His smartness
Kujichanganya
Anapenda mambo mazuri mazuri,
Hana makuu, ni mpenda watu, hapendi uzembe,
Lengo lake nchi yote ijengeke na kuwa nzuri kila mahala, msikivu, ana huruma, ameshika dini vizuri, ana subira, mwepesi kiakili, wa kungamua jambo na kulirekebisha, hakika tumezawadiwa kiongozi sahihi, anatamani ashibishe kila mtu, lakini linakuwa gumu, huwezi lisha watu milioni 60+
Inshaallah,
Kwa hio rais wako ni "His" ? Kuwa na adabu.
 
Rais wangu anaharibiwa na watekaji. Narudia watekaji watekaji watekaji.

Natudia tena wanaoteka, wanaoteka watu wana mharibia rais wangu
Rais wa watu milioni 65+, pengine unafamilia ya watu 15 tu, wakawa wanakutoa jasho!
 
Kumradhi imepokewa. Umekuwa muungwana.
Inshaallah, tabarak,
Upendo wangu mwingine kwa rais wangu, Hakurupuki katika kuzungumza anatafakuri kwa kina kabla ya kufanya lolote lile, ukisikie neno lake Fahamu limeshatafakariwa kwa kina it's neg - and pos+ Ona Ruto anavyojichanganya.
 
Kamtolee posa kwao umuoe kabisa ili umpende mpaka basi.
 
Her cherish,
Her smartness
Kujichanganya
Anapenda mambo mazuri mazuri,
Hana makuu, ni mpenda watu, hapendi uzembe.

Lengo lake nchi yote ijengeke na kuwa nzuri kila mahala, msikivu, ana huruma, ameshika dini vizuri, ana subira, mwepesi kiakili, wa kungamua jambo na kulirekebisha, hakika tumezawadiwa kiongozi sahihi, anatamani ashibishe kila mtu, lakini linakuwa gumu, huwezi lisha watu milioni 60+

Inshaallah.
Kama anakushibisha mpaka unapata nguvu ya kuja kumsifia humu jukwaani, usingempenda ungekuwa huna fadhila. Kwa hiyo hakuna cha kushangaza hapo.
 
Her cherish,
Her smartness
Kujichanganya
Anapenda mambo mazuri mazuri,
Hana makuu, ni mpenda watu, hapendi uzembe.

Lengo lake nchi yote ijengeke na kuwa nzuri kila mahala, msikivu, ana huruma, ameshika dini vizuri, ana subira, mwepesi kiakili, wa kungamua jambo na kulirekebisha, hakika tumezawadiwa kiongozi sahihi, anatamani ashibishe kila mtu, lakini linakuwa gumu, huwezi lisha watu milioni 60+

Inshaallah.
Lucas Mwashambwa
 
She is one of the best president this country ever had. A diplomatic, humble and resilient leader. I'm sure she will leave a good legacy
 
Back
Top Bottom