Nampenda sana Rais wangu Samia

Nampenda sana Rais wangu Samia

Hata mimi nampenda sababu kuna kontena langu kutoka Marekani nilikuwa nimeliandika "kontena la samia" maafisa wa Tra walivyoliona bandarini, hawakulitoza kodi hata cent.Kontena langu likapita bila kutozwa kodi. Nina mpenda samia maana kupitia yeye nilipata mbinu ya kuweza kukwepa kodi na kufaidi jasho langu halali.
 
Hakuna kitu kama hicho!, basi andika na majaliwa, mpango!
 
Back
Top Bottom