Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kwa hio rais wako ni "His" ? Kuwa na adabu.His cherish,
His smartness
Kujichanganya
Anapenda mambo mazuri mazuri,
Hana makuu, ni mpenda watu, hapendi uzembe,
Lengo lake nchi yote ijengeke na kuwa nzuri kila mahala, msikivu, ana huruma, ameshika dini vizuri, ana subira, mwepesi kiakili, wa kungamua jambo na kulirekebisha, hakika tumezawadiwa kiongozi sahihi, anatamani ashibishe kila mtu, lakini linakuwa gumu, huwezi lisha watu milioni 60+
Inshaallah,
Kumradhi kwa lugha hii ya kuidandia dandia 😀Kwa hio rais wako ni "His" ? Kuwa na adabu.
Rais wa watu milioni 65+, pengine unafamilia ya watu 15 tu, wakawa wanakutoa jasho!Rais wangu anaharibiwa na watekaji. Narudia watekaji watekaji watekaji.
Natudia tena wanaoteka, wanaoteka watu wana mharibia rais wangu
Numbisa tuwe wakweli, Rais huyu utamfananisha na yule ayeamuru mabada ya machinga yajengwe kila chochoro, mpaka nchi ikageuka ya ajabu.Chawa
Numbisa tuwe wakweli, Rais huyu utamfananisha na yule ayeamuru mabada ya machinga yajengwe kila chochoro, mpaka nchi ikageuka ya ajabu.
Kumradhi imepokewa. Umekuwa muungwana.Kumradhi kwa lugha hii ya kuidandia dandia 😀
Inshaallah, tabarak,Kumradhi imepokewa. Umekuwa muungwana.
Kama anakushibisha mpaka unapata nguvu ya kuja kumsifia humu jukwaani, usingempenda ungekuwa huna fadhila. Kwa hiyo hakuna cha kushangaza hapo.Her cherish,
Her smartness
Kujichanganya
Anapenda mambo mazuri mazuri,
Hana makuu, ni mpenda watu, hapendi uzembe.
Lengo lake nchi yote ijengeke na kuwa nzuri kila mahala, msikivu, ana huruma, ameshika dini vizuri, ana subira, mwepesi kiakili, wa kungamua jambo na kulirekebisha, hakika tumezawadiwa kiongozi sahihi, anatamani ashibishe kila mtu, lakini linakuwa gumu, huwezi lisha watu milioni 60+
Inshaallah.
Lucas MwashambwaHer cherish,

She is one of the best president this country ever had. A diplomatic, humble and resilient leader. I'm sure she will leave a good legacyHer cherish,