Aisee mmeshtuka !!!!Nahisi hili chezo hata halijapata mchezaji, mara m1 arudi mwenzie apotee!! Kaah' mnatukosesha utamu bwaana pishi ganii hili halina hata chumvi..!!
Huyu mtoa mada kaniwahi.Unadhaniaje hivi?? Nanasaje kwenye tego la kipumbavu hili?? Hawa watu wasiojulikana mnawachukulia poa?? Nimemtumia PM mpaka sasa hajajibu.
Mkuu umekamia kweli. Hivi mwanaume kuzimikiwa ni hadimu sana etii? Kesho nafungua id mpya nakufungukia wewe[emoji13][emoji13] majibu utakayoyapata kwenye huo uzi ni haya haya[emoji126][emoji126]Naona umerudi sasa kwa ID yako ili ujijibu,,
Hivi kuwa romantiki ndiyo kupoje[emoji13]?Kila la heri Bibie.
Ila jaribu kuwa romantic kidogo basi maneno kama "ovyoooo, mfyuuuu'' hayajakaa kiheshima.
Mkuu,haihitajiki elimu ya juu kugundua huu utapeli ulio fanyikaMkuu umekamia kweli. Hivi mwanaume kuzimikiwa ni hadimu sana etii? Kesho nafungua id mpya nakufungukia wewe[emoji13][emoji13] majibu utakayoyapata kwenye huo uzi ni haya haya[emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiogopq hapa njoo ufungue hata pm..?Hahahahahahaha Hata simuogopi mtu..nitakuja tu na hii hiii....ngoja niendelee kukusanya data nitarudi kufungua uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu kwa unavyoona mtoa mada anajaribu kutuambia nini? Kama kweli ni mwanaume.Mkuu,haihitajiki elimu ya juu kugundua huu utapeli ulio fanyika
Si unajua mtu akipenda sana anakuwa chizi?Hivi kuwa romantiki ndiyo kupoje[emoji13]?
Mtoa mada amekaa kiteja teja, kwakifupi anaonekana hana viwango vya TBS.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemwambiajee?Ukiogopq hapa njoo ufungue hata pm..?
Sawa Mama Sabrina.Najua wapo watakaoniona malaya, ila bora niseme liwalo na liwe.
Sababu za mimi kufungua ID mpya ni kwamba nkitumia ID yangu ya zamani bwana wangu atajua kuhusu hili. Na sina uhakika kuhusu huyu Relief Mirzska maana namuona tu alivyo na kasi hizi siku za karibuni.
Kiukweli mimi nampenda sana huyu kaka na natamani niwe nae, nimepitia thread zake najua ameoa ila nipo tayar vyovyote iwavyo na iwe. Jamani msinione malaya na msiniulize nampendea nini. Moyo ukipenda hula nyama mbichi, napenda anavyoandika, napenda kusoma English yake, mimi ni rafiki yake ila naona amekuwa mgumu kuelewa. Saa nyengine anaringaaa, ovyooo!!!
Kuna wadada humu kila anachopost wao wana-like tu, jamani wengine mnatuumiza na ndio maana nimeamua kuja hapa. Wadau hebu naombeni msaada wenu, shemeji yenu kila nkimwambia mimi sipendi anywe pombe hataki kuacha mpaka namchukia sasa na nadhani naingia kwenye penzi na Relief Mirzska ndio maana moyo wangu unamchukia huyu jamaa.
Kwani mtu raha si unatakiwa ujipe mwenyewe??
Na wewe Relief Mirzska punguza kuringa, mimi nipo tayar tupige shoo moja ya kibabe moyo wangu utatulia. Najua ushanijua, tafadhali we mkaka jamani aggghhhh.
Unamaanisha wewe ni Beef la Sagna?Wala si mgogo! Mimi wa kusini kwenye korosho
Screenshot tuone mkuuUnadhaniaje hivi?? Nanasaje kwenye tego la kipumbavu hili?? Hawa watu wasiojulikana mnawachukulia poa?? Nimemtumia PM mpaka sasa hajajibu.
Ashakuja ngoj tusubir maoni yake kwan wengine tumekuja kufurahi tu umu ndanSasa si tutamchafulia uzi mkuu? Halafu atakuja na id nyingine tena kutumind
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi Quote yako kwangu Imekua kama Kuokota noti ya buku kumi K.koo.. ila sawa tu navumilia yote yatakwishaUmemwambiajee?
Si unajua mtu akipenda sana anakuwa chizi?
"Chizi mapenzi "[emoji23][emoji23][emoji23]
Johnny kwa hiyo kama quote yangu imekuwa hadimu ndiyo utake kufungukiwa piemu?Sasa hivi Quote yako kwangu Imekua kama Kuokota noti ya buku kumi K.koo.. ila sawa tu navumilia yote yatakwisha