Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana Jr saa hizi yupo na walevi wenzie
Anasubiria kuingia night shift aanze kututisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana Jr saa hizi yupo na walevi wenzie
Anasubiria kuingia night shift aanze kututisha
Kila kitu tayari sasaEnhe kule si tushashashiba au? Tusubirie light snacks Mshana Jr anaandaa.
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi
Usijali soon ntakuanzishia uziNasubiria wa kunipenda nami nianze mwaka kwa amani
😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃Pale mtu anapofungua ID mpya na kujipigia pande..
Umesomeka mzee baba...
Yaani wewe ni kivuruge 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi
🙀🙀🙀🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈Acha kujiaibisha,yaani unafungua ID ya pili na kujipigia promo..tena mwandiko ni wa kiume kabisa..hivi mnanufaika na nini kwa haya maujinga yenu?
Ndiwoooo 😇😇Inaruhusiwa kuwa na Id mbili zenye jinsia mbili tofauti ?
Nakusubiri kwa hamu mrembo
Kweli kabisa mwandiko wa kiumeAcha kujiaibisha,yaani unafungua ID ya pili na kujipigia promo..tena mwandiko ni wa kiume kabisa..hivi mnanufaika na nini kwa haya maujinga yenu?
Naona umerudi sasa kwa ID yako ili ujijibu,,Tunaharibiana wadau
Na wala anayoyasema sinayo. Noma sana, anafanya mambo yangu hayaendi sawa sasa.Kwa kweli sijawah hata kuiona id yake angalia nyege zikiisha usijute