Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Aisee nashukuru
Tatizo una ringa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo una ringa sana
Dah! kwa sababu gani mkuu?Imekaa kiume ume...!!! Mnh
Me sijakaa kama mwanaume... Labda I'd ndiyo imekaa kiumeNime...........
Ndo ivo ila fresh wanaokaa kam wanaume wanakuwaga watam saan
Yaan kwa Sababu ina neno baba au vipi?
Id ndo inafny tumtafsiri mtu umu ndan kwan hatujuani kabsaMe sijakaa kama mwanaume... Labda I'd ndiyo imekaa kiume
Hahahahahahaha Sawa mkuu...hamna shida ila Mimi siyo mwanaumeId ndo inafny tumtafsiri mtu umu ndan kwan hatujuani kabsa
Najua ata kesho tena ntasahau tu kam wee ni ke
Naona tunachafua uzi wa watu,Hahahahahahaha Sawa mkuu...hamna shida ila Mimi siyo mwanaume
Me ushauri mbona nilishampa kitambo mkuu? Ila tusiendelee kuchati tunaharibu theme ya UziNaona tunachafua uzi wa watu,
Mpe ushaur mwenzako kuliko tunachat kweny uzi wa mtu tena najua roho itakua inamuuma hatr
Sawa mkuu nimekuelewa,na wew usinijibu kwan ndo unaharibu ujueMe ushauri mbona nilishampa kitambo mkuu? Ila tusiendelee kuchati tunaharibu theme ya Uzi
Basi sikujibu tenaaa hahahahahahahaSawa mkuu nimekuelewa,na wew usinijibu kwan ndo unaharibu ujue
Ona nakukataza bado unaendlea ehBasi sikujibu tenaaa hahahahahahaha
Hahahahahahaha kichwa changu kigumu SanaOna nakukataza bado unaendlea eh
Ha ha ha
Ngoja nikabadili I'd nije kukufungulia Uzi hahahahahahahaNasubiria wa kunipenda nami nianze mwaka kwa amani
Basi tuendelee tu kwa maan mwenye uzi kalog out ,kaifuata id yake ya zaman sas anaona aibu kurud apa tenaHahahahahahaha kichwa changu kigumu Sana
Kwanini usije na Id hii wamuogopa nani??Ngoja nikabadili I'd nije kukufungulia Uzi hahahahahahaha
Uzi umenisisimua hadi nikatokwa na majashoUnataka kupigana mkuu???