- Thread starter
- #21
sio mgogo mimi, au kwa vile wewe upo dodoma unaona wote wagogo??Mgogo huoni uandishi wakee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio mgogo mimi, au kwa vile wewe upo dodoma unaona wote wagogo??Mgogo huoni uandishi wakee
Ahsante yellow eyes na huu ndio ujinga wetu, halafu ukimuona na mwenzio unaumiaaa. Mfyuuuu, siyawezi mimiKwann umemfananisha na mgogo
Kwamba wanawake wakigogo ndo huwa wanafunguka juu ya hisia zao kwa wanaume au? Ungejazia nyama kidogo mkuu kuondoa maswali mengi. BTW hata mwanamke anahaki ya kupenda pia na kuelezea hisia zake juu ya yule anaempenda sema bas tu ilishazoeleka yy mpaka aanzwe.
Sawa binti,unaupendo wa dhati kweli kweli aisee..Walaaaaa! mimi sio mgogo
HaaahYan mimi nimkuwadie mwanaume mwenzangu.? Na mimi niko wapi wakati huo
Sio mgogo ni mziguaNgoja na mm nianze kulike comment labda nitampenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana si kwa mahaba hayo alafu wewe dada unaonekana ni Mgogo
Nimekoma Ku like comments za Wakaka humu ndanii kumbe tunaumiza watu bila kujua jmaan..!![emoji17]
Kweli ukifunguka ukweli juu ya umpendae na moyo unakuwa na aman.Ahsante yellow eyes na huu ndio ujinga wetu, halafu ukimuona na mwenzio unaumiaaa. Mfyuuuu, siyawezi mimi
Haeleweki tatizoooYan mimi nimkuwadie mwanaume mwenzangu.? Na mimi niko wapi wakati huo
Achana naye. Njoo kwa tunaoelewekaHaeleweki tatizooo
Nimekoma Ku like comments za Wakaka humu ndanii kumbe tunaumiza watu bila kujua jmaan..!![emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...sasa so mpaka wafunguke kama huyuNimekoma Ku like comments za Wakaka humu ndanii kumbe tunaumiza watu bila kujua jmaan..!![emoji17]
Nawewe je?Hongera kwa ujasiri wa kujilipua Mpz.!!
Labda ana utani naoMkuu naona unaugomvi nao,ngoja waje
Nimechoka kuvumiliaaa halafu mkaka mwenyewe mmmhhhhHongera kwa ujasiri wa kujilipua Mpz.!!