Tumekesha hapa na cherko kibao... Afu anataka atuchinjie baharani aisee...
Tumekesha hapa na cherko kibao... Afu anataka atuchinjie baharani aisee...
Itakua ni furaha na ajabu humu JF coz I never experienced kupendwa humu JFKule piiem watu hawatacomment halafu hawatajua kama nimemfungulia Da'Vinci uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Si vyema na haki kwa kweli.... Watakuwa washanjunjuana
Si vyema na haki kwa kweli.... Watakuwa washanjunjuana
Hahahhahaha kuna kusitiriana apa I can smell.Na kikubwa ninachotaka kujua ni jinsia ya mtoa mada, maana pamekuwa na kelele mingi kwamba mwandiko wa kiume.
Sasa atudhibitishie jee amedhibitisha ni mwanamke kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39]Hahahhahaha kuna kusitiriana apa I can smell.
[emoji850][emoji850]Angel umeambiwa uondoke urudi ulipotoka mbona huelewi[emoji58]
zip up![emoji850][emoji850]
Kwahiyo kama ilivyo North American English, British English nakadhalika, kuna member mwenzetu huku ana toleo lake la English?Jamani msinione malaya na msiniulize nampendea nini. Moyo ukipenda hula nyama mbichi, napenda anavyoandika, napenda kusoma English yake, mimi ni rafiki yake ila naona amekuwa mgumu kuelewa. Saa nyengine anaringaaa, ovyooo!!!
.
Aisee.Unaruhusiwa ku log out,ili uje ujijibu sasa kwa ID yako ya zamani
[emoji28][emoji28] kwa nini umeuliza kujitongoza inaruhusiwa? Au unataka na wewe ujitongoze pancho boy ?