Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
[emoji28][emoji28][emoji28].nilitaka kushangaa asee
wa ubavu wangu ndo awe mimi tena
Usiogope buanaa. Wewe hauwezi kufungua id ya kike .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28].nilitaka kushangaa asee
wa ubavu wangu ndo awe mimi tena
Ni mwisho wa reli kwa vituko.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jf bwana!!!
Nacheka mimi nikisoma comments[emoji28][emoji28][emoji28]Those days[emoji838][emoji3]
Oooooh!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nazungumzia comment auntie...
Kuna mmoja nilimpenda mpaka nikawa namuota, tukaachana hata hatujaonana banaWewe unampenda nani humu,tunataka tujue
Hahahhaha ndio raha ya jf... Very incomparable[emoji23]Nacheka mimi nikisoma comments[emoji28][emoji28][emoji28]
Siwezi kufanya hivyo jamani auntie wanguOooooh!!
Nilitaka kumuita T aone ufanyayo gizani.
Haujadondokewa wewe?[emoji28][emoji28][emoji28]Hahahhaha ndio raha ya jf... Very incomparable[emoji23]
Baharia alituangusha sana,inakuaje unaachana na mrembo bila hata kuonana nae,baharia alizingua sana!Kuna mmoja nilimpenda mpaka nikawa namuota, tukaachana hata hatujaonana bana
Wala hajui kama nilimpenda banaBaharia alituangusha sana,inakuaje unaachana na mrembo bila hata kuonana nae,baharia alizingua sana!
Hahahhaha genius idea.... But na nyie mnakaza sana manila mpaka mabaharia tunajidondokea ovyo ovyoHaujadondokewa wewe?[emoji28][emoji28][emoji28]
Kama bado jidondokee tuu.
Kumbe ilikua kidogo aokote dodo chini ya mpera,itakua akujua aisee,naombea hiyo niipate mimi,sitolemba aisee!Wala hajui kama nilimpenda bana
Tumepotezana jukwaani nikaamua kuuambia moyo, acha kupenda Kivuli
EwaaaKumbe ilikua kidogo aokote dodo chini ya mpera,itakua akujua aisee,naombea hiyo niipate mimi,sitolemba aisee!
Sasa mkijidondokea ovyo ovyo ndio tunalegeza?[emoji28]Hahahhaha genius idea.... But na nyie mnakaza sana manila mpaka mabaharia tunajidondokea ovyo ovyo
Hata sijui kama yupo hai huyu mtu[emoji134][emoji134]Hahahahahaha
Auntie....
Hivi mdaka chozi yupooo???
Mmmmh!![emoji848][emoji848][emoji848]Ewaaa
Sijui alibadili ID?
Nilikuwa sibanduki kwenye nyuzi zake intelligence kulee, nasoma tuu