Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
kweli nipo kwenye process[emoji28][emoji28] kwa nini umeuliza kujitongoza inaruhusiwa? Au unataka na wewe ujitongoze pancho boy ?
Sasa unatakiwa ujifungulie thread ujitongoze ili unioneshe kwamba wewe wadada wanakushobokea.kweli nipo kwenye process
maana naona siku hizi wanajipa raha wenyewe why me haha
ila bora unikubali Hannah nisije kujitongoza mie
sawa asante mamaSasa unatakiwa ujifungulie thread ujitongoze ili unioneshe kwamba wewe wadada wanakushobokea.
Itanifanya nikukubali haraka.
nilitaka kushangaa aseeNimelog out nimekuja kujijibu[emoji28][emoji28][emoji28].
Huyo anakutania bhana.
Kumbe ni ww[emoji849]..dada akeeSijui hata niliandikaga nini eti
Wewe ndio ulifungua uzi?Sijui hata niliandikaga nini eti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa unatakiwa ujifungulie thread ujitongoze ili unioneshe kwamba wewe wadada wanakushobokea.
Itanifanya nikukubali haraka.
AbeeeKumbe ni ww[emoji849]..dada akee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ndio ulifungua uzi?
Those days[emoji838][emoji3]Huu uzi jamani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe unampenda nani humu,tunataka tujueHahahahahaha
Umenifanya nikaizooom