AbeeeeeMmmmh!![emoji848][emoji848][emoji848]
EeehhhHata sijui kama yupo hai huyu mtu[emoji134][emoji134]
Ukute nae alikuwa Morogoro!!
Kuna mmoja nilimpenda mpaka nikawa namuota, tukaachana hata hatujaonana bana
Hebu shangaa na wewe jamani, nilimpenda saaanaa....Sakayo uliwezaje kumuota Mtu ambae hujamuona
Daahhh @zeshcriss mbona kama sielewi elewi hivi. ..Wala si mgogo! Mimi wa kusini kwenye korosho
Naona umeamua kujitongoza mwenyewe,