ππππ Na nn Mkuu??Mno na hapa pia naendelea kuumia
Me nimempenda yeye
Unataka kupigana mkuu???Hili joto nalo ni kikwazo ngoja nivue shati kwanza
Moyo umesituka nikajua wewe mkuu umeweka ID mpya,ona inavyofanana na yako na huyo mtoa mada,nikajua umefanya usanii kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23]watu na bahati zao za mtende [emoji114][emoji114],usije ukamponza kaka wa watu akaliwa tigo lakini
Kuanzia jina na mwandiko wako pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na nn Mkuu??
Mimi ymenishinda shoga, kwani sh.ngapi?? Akinielewa haya asiponielewa basiNamimi tareh 1 ntamtaja nimpendae, tena kwa id hii hii kwani sh. Ngapi?
agaaah'...!!Kuanzia jina na mwandiko wako pia
[emoji4]agaaah'...!!
Hahaha mkuu mimi nikimzimikia mtu sijisumbui kufungua uzi namzamia PM tuMoyo umesituka nikajua wewe mkuu umeweka ID mpya,ona inavyofanana na yako na huyo mtoa mada,nikajua umefanya usanii kidogo.
Hivi ushawahi penda wewe??Bora ata umeandika point kidogo maan onyo kitu cha muhimu saan
Ila ukweli umeshamwambia.Mimi ymenishinda shoga, kwani sh.ngapi?? Akinielewa haya asiponielewa basi
Na ndio maana baada ya kuwaza na kuwazua nkaona nije huku labda mwenzenu atanielewaHuu ndio tunaita ujasiri
Hahahaaa!Hahaha mkuu mimi nikimzimikia mtu sijisumbui kufungua uzi namzamia PM tu
ππWengine hawawezii Mpz.. Unakuta tu anakuchukia kimoyomoyo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...sasa so mpaka wafunguke kama huyu
Yataka ujasiri, mimi nimefikiria siku tatu nzimaaaa. Mapenzi haya jamani nyie acheni tuWewe huwez dear?
Agghhh shauri yake. Kwani si namruka tu, hii ID yenyewe ntaiwacha nrudi kwenye ID yanguuu. Relief Mirzska kashanijua najuaIla kitendo cha kusema huwa unagombana na mtu wako aache pombe huoni mwanaume wako anaweza kukugundua au akahisi ndio wewe akaanza kufuatilia nyendo zako?
Pole na hongera. me sijataka kukaa na dukuduku moyoniWalah sina huo ujasiri
Walaaaa. Ila akinikubalia ntamfuata huko huko alipo nimuonyeshe dunia mpyaChupi chepe chepe
Hajapenda huyuuuHujapenda wewe!