Pole shost, nakushauri usife na tai shingoni dada. Mfungukie usijali maneno ya watuHongera shost kwa ujasiri wakueleza hisia zako..wengine tunakufa na tai shingoni.
Najua wapo watakaoniona malaya, ila bora niseme liwalo na liwe.
Sababu za mimi kufungua ID mpya ni kwamba nkitumia ID yangu ya zamani bwana wangu atajua kuhusu hili.
Sawa mkuu,ukikuta anamtu au hawezi kukupenda,your welcome to love me[emoji4][emoji4]Hata sijielewi maana simuaminiamini hivi. Ila nampenda jamani utani mbali
Jana na leo mkuu.Cc😡cute b
Ndugu yangu shauri yako, tuacheni mila za kizamani eti mpaka mwanamme akutongoze wewe. Wanaume wenyewe ndio hawa unamuonyesha kila dalili na bado haelewiNaomba mtoa mada anigaie ujasiri ili na mie siku na fall humu, nijitoe muhanga tena na hii hii ID..!!😂😂
Utaweza kuvumilia povu lake litakalokuka mzeebabaDah, huyu "jamaa" naona kaamua kujipigia "assist" ili kujiondolea " gundu".
Halafu "dume" kuwa na id mbili za jinsia tofauti ni kujipandikiza "vimelea" vya ugashoo
Daaaaah madhara ya kukaa bila kula muda mrefu. Nimejikuta naandika mambo ya ajabu jirani. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] jirani unataka kusemaje
Kwanini nihangaike kukujibu eti??Acha kujiaibisha,yaani unafungua ID ya pili na kujipigia promo..tena mwandiko ni wa kiume kabisa..hivi mnanufaika na nini kwa haya maujinga yenu?
Hii mijitu inakera saana mkuu..shangaa na ww mkuu ndo maajabu ya jf
Asipoelewa sitomlazimisha haki vileKomaa naye sasa mpaka aeleweke.
Saved!Unaweza kuwa wewe, just save the date.
Asipokuelewa huko PM??Hahaha mkuu mimi nikimzimikia mtu sijisumbui kufungua uzi namzamia PM tu
Ficha upumbavu wako fala wewe..nipo tayar kuitumikia ban kwa ajili yako.mnatuletea mambo ya kishoga shoga..sijui mod wanafanya nini kukomesha majitu kama nyieKwanini nihangaike kukujibu eti??
TenaaaaaaaaaIla ukweli umeshamwambia.
Sema kweli jiraniHahaha mkuu mimi nikimzimikia mtu sijisumbui kufungua uzi namzamia PM tu
Ameniboa sana mkuu,Dah, huyu "jamaa" naona kaamua kujipigia "assist" ili kujiondolea " gundu".
Halafu "dume" kuwa na id mbili za jinsia tofauti ni kujipandikiza "vimelea" vya ugashoo