Nampenda sana Relief Mirzska

Nampenda sana Relief Mirzska

Naomba mtoa mada anigaie ujasiri ili na mie siku na fall humu, nijitoe muhanga tena na hii hii ID..!!😂😂
Ndugu yangu shauri yako, tuacheni mila za kizamani eti mpaka mwanamme akutongoze wewe. Wanaume wenyewe ndio hawa unamuonyesha kila dalili na bado haelewi
 
Back
Top Bottom