Nampenda sana Relief Mirzska

Nampenda sana Relief Mirzska

Haina tabu mimi nitakupa kazi ujiandikie uzi mwenyewe kwa kingereza.
Na wewe si ndiyo unajijua vizuri? Usisahau kuandika sifa zako ambazo unataka wana jf wazijue.
Nimeacha sasa[emoji38]
Airtime isije ikasitishwa wakati manengelo ndio shuhuda wa huu mdondokeo mpaka ssa.. Ilihali nataka dunia nzima ishuhudie hii ngekewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuzi za rafiki? Kwahili naungana na wewe zaidi ya asilimia zote. Alikuwa Anaandikiw mwingine halafu mimi nalowa. Kumbe basi rafiki ndiyo sababu ya mtoa mada kutolewa nje.
[emoji4][emoji4][emoji4]...kuna nyuzi juz kati alikua anaziandika kwa hisia kweli kweli..kwa uandishi ule na uhenga huu huyu yupo romantic..anajua kubembeleza[emoji87]!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom