Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
I swear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I swear
[emoji851][emoji851][emoji851]kazi ipo!
Kaka upo?? Kuna mtu anataka anipeperushie njiwa wangu ila sio kesi kisela tumeyamaliza.
Njiwa hajaonekana hapa siku ya pili sasa mkuu... Usimfanyie hivyo tafadhali... Usiwagope kunguru.Kaka upo?? Kuna mtu anataka anipeperushie njiwa wangu ila sio kesi kisela tumeyamaliza.
Aaaggghhhhh we acha tundo huyu mtoa mada?khaa watu wabaya nyie jaman...pigana naYe kiume..nan huyo
dark angel hujambo?? Mdau nimemalizana nae huko piemuni hahahahaah
Kaka upo?? Kuna mtu anataka anipeperushie njiwa wangu ila sio kesi kisela tumeyamaliza.
Heee ngoja nikuje fastaaNimekuita kwenye uzi wa viwalo umepata ofa
shoga mpana[emoji87]
😂😂😂👐👐😉handsup
Sijui katumwaaaaaa????? Mitihani hii
Hahahahaahhahaahah
Sijui katumwaaaaaa????? Mitihani hii
Hahahahaahhahaahah
Hahahahaahahaha. Acha ninyamazeeeHuyu mtoa mada kaniwahi.
Nilitaka nikufungukie kabla ya mwaka kuisha.
Ila mkuu una kismati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaahahaha. Acha ninyamazeee
AiseeeeeeWatu kwenye huu uzi wametiwa ndimu sijui.
Siyo kwa kuchachuka huko.
KWANI MNATESEKA? [emoji39][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief huyu mtu nahisi katumwa na njiwa. Ni kama mtu asiejulikana hiviKwa mara ya kwanza mwanaume anadondokewa afu anachomoa live humu jukwaani... Hii imekaaje chief? [emoji23][emoji23][emoji23]