barakaglory
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 481
- 474
i love u more baby yake mie .. usiache kuzisaka ujue mi siwezi kukaa bila pesahata mimi nampenda sana miss chagga japo tayar ni baby wangu ila siku akiniacha nahisi nitakuwa chizi.... mmmmwaaah miss chagga i will never let you go!!!
kipi kikuchekeshacho!!!Hahah aha
JF raha mkuu....akuna cha zaidikipi kikuchekeshacho!!!
tuma salamu kwa members watatu wanaokukosesha usingizi..!!!JF raha mkuu....akuna cha zaidi
Ndiyo kwanza hata mwezi sina ngoja nipazoee kwanza.tuma salamu kwa members watatu wanaokukosesha usingizi..!!!
kwahiyo kumbe bado mteke... ngoja nikariri id yako nianze kukufukuzia...!!!!Ndiyo kwanza hata mwezi sina ngoja nipazoee kwanza.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]kwahiyo kumbe bado mteke... ngoja nikariri id yako nianze kukufukuzia...!!!!
ukhutyyyyyyyyyyyyRubiiiiiiiiiiiiii
rubii mahaba yamekufika
daah mapenzi bwanaa!! Rubii kila siku ananiomba nisimuache,nisimsaliti lkn miee hata bado sijaanza kumfikiria!! Ajabu kidume mwenzangu anajitangaza kabisaa kuwa yuko vzr kipesa lkn hatakiwi
Rubiii mwenyewe kama alishatangulia mbele za hukumu. Mbona haonekani? Unaitwa na muuza majeneza huko hebu nawe funguka buana
jiandae kuwa mteja wake ha ahaHa ha ha a mahaba kutoka kwa muuza majeneza!!i
Muamala wa huduma za majeneza, kwahiyo ukiolewa utakuwa unajihimu asubuhi muhimbili kufungua duka la majeneza duuu biashara nyingine zataka moyo kwakweli. RUBIII usiseme unanuksi watu wamekujia hebu funguka buanaHa ha ha a mahaba kutoka kwa muuza majeneza!!
Mmmmmh!! kumbe nawewe huwa unaniota pia jamaniii
Nipooo hapa nasikilizia muamala utasoma kiasi gani