rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi najua kujiongeza na ndio maana nikajiongeza kwa kuja humu jukwaani ili watu wote wajue kwamba " Ri-Moyo langu limekudondokea"
Give me your accountJiongezee na CRDB, MPESA
Give me your account
Achana na maneno
PM fasta
Nimefoward kwako ukhuty unautesa sana moyo wangu kwa mapenzi niliyonayo kwakoHabarini Bandugu bapendwa katika bwana.
Nashika kalamu na karatasi kuandika waraka huu huku mwanga wa kibatari changu ukinimulikia.
Sio siri nampenda sana huyu member anayefahamika kama rubii
Nimejaribu kumsahau lakini kila nikilala namwota.!
Nilishajaribu kumfuata Pm kumweleza dhumuni langu lakini alinitolea nje.!
Uvumilivu umenishinda nimeamua kuja hapa ili anayeweza kunisaidia kumpata basi amwambie kwamba nnampenda sana kuliko mzee yule anavyopenda kuangalia shilawadu.!
"Rubii ukinikubari mimi kamwe hutojutia kwani ntakupa kila utakacho,
Kama ni nyumba ya urithi ya mzee ntauza ili pesa yote nikupe wewe.!
Naamini utayapenda maisha yangu maana tangu niachane na ile kazi yangu ya zamani ya kuiba mafuta ya transfomer ambayo iliniingizia pesa kidogo,
Sasa hivi nimeamua kujiajiri kwa kuanzisha kampuni yangu binafsi inayohusika na uuzaji na usambazaji wa majeneza ya kisasa pamoja na vifaa vya kuzikia pia ujenzi wa makaburi.
Hivyo kwa sasa maisha yangu yameninyookea sana na mimi sio moja ya watu wanaolia eti hali ngumu kila siku mara pesa imebanaa!
Mie kila siku naingiza pesa hivyo njoo mama tuyajenge.
Wadau naomba mnisaidie kumshawishi huyu rubii anikubali maana sintomcheza bali ntamwoa jumla.! Nitashukuru iwapo nitafanikiwa ombi langu.
Rubiiiiiiiiiiiiii
Mkuu una mtonyo wa kutosha.!!kummiliki miss chagga.?anapenda pesa kama kazaliwa BoT[emoji85] [emoji85] [emoji85]hata mimi nampenda sana miss chagga japo tayar ni baby wangu ila siku akiniacha nahisi nitakuwa chizi.... mmmmwaaah miss chagga i will never let you go!!!