Nampenda sana Rubii..!

Unadhani mimi nina tatizo na majeneza yake mkuu? Tatizo huyu Mbwa dume hajui kujiongeza
Mi najua kujiongeza na ndio maana nikajiongeza kwa kuja humu jukwaani ili watu wote wajue kwamba " Ri-Moyo langu limekudondokea"
 
Pm no yako ya simu ili nifanye mambo kwa Mpesa
 
Nimefoward kwako ukhuty unautesa sana moyo wangu kwa mapenzi niliyonayo kwako
Rubiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…