Nampenda sana Shunnie

Yaani jamaa yake anakuchoraa tu unavyo aibisha mabaharia.
Unaanzaje kumpondea mume au mpenzi wake kisha unafuatia kumtongoza?
Wewe tangaza sera zako usianze kumzungumzia kidume mwenzio.
Kosa kubwa sana hili usirudie tena hata mtaani au kazini kwenu.
Umenikumbusha enzi hizo jamaa kanipondea kwa girlfriend wangu, baadae mrembo kaja kuniambia yote nikabaki namdharau jamaa kimya kimya.
 
Mkuu imetokea tu.
 
wakat unahangaik kuandika andika humu mi mwenzako niko namtafuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…