Anavaa size 16 sasa jiongeze ni portable au kibonge
Unamiliki V8vX? Mshana mwenyewe alitema alitema mzigo pamoja na uchawi wake
Sidhani kama utaondoka nayo. Utatafuna utaiacha. Nami muda wangu ukifika nitaitafuna.wakat unahangaik kuandika andika humu mi mwenzako niko namtafuna.
Ajitokeze tupambane maana huwa sipendi kuogopeshwa hata kidogo.Unamtongoza mkewe atakuaje mpole?
Size 16, that is a plus size...
Wadada wa hivyo huwa wanapendeza sana wakiwa na umbo nambari 8, ndio wale Sheikh Kipozeo huwa akiwataja sana
Asa gari ya nini
Wamesema hivi mwanamke asiye na gari hajatimia.... Kuna mtu alisema humu
Kwahiyo sisi tusio na gari sio wanawake ni wanaumeAsa gari ya nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndioo. Kajuaje ni portable?
Huu ni msimu wa couples, na vijana naona wanazidi ku kunjua roho
Huyu anamjua
Kaja kivingine
Hivi mimi ni kiportable au chibongeNdioo. Kajuaje ni portable?
Hivi haya mambo bado yapo jamaniiiHabari wana MMU?
"Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua"
Kiukweli inanibidi niwe tu mkweli ili niweze kuifanya nafsi na moyo Wangu kuwa huru.
Ni kwamba nimetokea kumpenda sana mdada anayetumia ID ya Shunnie.Ninaposema nampenda namaanisha kuwa nampenda sana.
Shunnie, wewe ndiyo umesababisha nijiunge JF ili niweze kupata chance ya kuwasiliana na wewe na kuweza kuonana kama itawezekana ili tuweke mambo sawa na kama tutaridhiana nipo tayari kabisa uwe mke wangu.
Shunnie najua hapo ulipo una mtu wako na kama haujawahi kutangaza ndoa basi tambua huyo hana lengo zuri na wewe.
Mrembo Shunnie naomba ufungue moyo wako ili unipe nafasi katika ulimwengu wako wa mahabati. Nami nijihisi kidume peke yangu katika ulimwengu huo.
Mpende akupendaye Shunnie.
Nakupenda sana Shunnie. Naomba unielewe. Malengo yangu kwako ni mazuri Mrembo Shunnie.Sita mere dating but dating ambayo mwisho wa siku itazaa tunda la ndoa.
Naomba unielewe Shunnie. Nakupenda sana. Usiku silali, nakuwaza wewe na hata nikilala simpati usingizi unaotakiwa maana muda wote nakuwaza wewe.
You really drive me crazy.... Shunnie.
Jiraniii acha kuniharibiaNasikia huyo mdada mgumu kupenda uyoo..
Hesabu unajisumbua tu mzee mwenzangu
KhaaaaaShunie ukuje huku kuna moyo unasukuma maandishi yako banaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Portable?????? Hahahahhahahahaha huyu kweli anaota
Hata Maulid aliwahi kusema...Size 16, that is a plus size...
Wadada wa hivyo huwa wanapendeza sana wakiwa na umbo nambari 8, ndio wale Sheikh Kipozeo huwa akiwataja sana
Ebu agiza whatever-vant hapo kwa Meku tafadhali....Tena kidume cha mbegu haswa
Mama Dickso, tatizo ulinikera sana ulipo nitangaza kuhusu 7800Hivi lini utanikunjulia roho baba Dickson?
Ndiyo. Shunie. Yatakomaje wakati tuna mioyo iliyojaa Upendo? Nakupenda sana Shunie.Hivi haya mambo bado yapo jamaniii