Nampenda sana Shunnie

Mimi ni kaka yake kabisa! Maana yake ni kwamba, kama ombi lako litafanikiwa, utakuwa 'Muamu' wangu! Sasa ni vizuri ukatoa mapema 'ULAMU' wangu ili nikapigie 'Vipogo' vya kutosha vya mnazi na denge.
Mkuu, dada yako ana kiburi sana mpaka muda huu haoneshi response yoyote licha ya kumkumbusha.
 
Shunnie ni me ,tena mwandishi wa story huko fesibuku page yake ina almost 58K
 
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…