Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Jaribu kuvisha suruali hicho kichwa vinginevyo utakosa hata unachokitafuta humu.
Uwe unakaa kimya wanaume wakiwa wanaongea dogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe unakaa kimya wanaume wakiwa wanaongea dogo.
Mkuu, dada yako ana kiburi sana mpaka muda huu haoneshi response yoyote licha ya kumkumbusha.Mimi ni kaka yake kabisa! Maana yake ni kwamba, kama ombi lako litafanikiwa, utakuwa 'Muamu' wangu! Sasa ni vizuri ukatoa mapema 'ULAMU' wangu ili nikapigie 'Vipogo' vya kutosha vya mnazi na denge.
Lugha yako ngumu Mkuu. Rudia kusoma ulichokiandika ili utoe ufafanuzi nielewe.Jaribu kuvisha suruali hicho vinginevyo utakosa hata unachokitafuta humu.
Lugha yako ngumu Mkuu. Rudia kusoma ulichokiandika ili utoe ufafanuzi nielewe.
😂 😂 😂 😂 😂Andaa Tsh7800/= na sweta lililoandikwa Tanzania liwe kama zawadi..
Shunnie ni me ,tena mwandishi wa story huko fesibuku page yake ina almost 58KHabari wana MMU?
"Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua"
Kiukweli inanibidi niwe tu mkweli ili niweze kuifanya nafsi na moyo Wangu kuwa huru.
Ni kwamba nimetokea kumpenda sana mdada anayetumia ID ya Shunnie.Ninaposema nampenda namaanisha kuwa nampenda sana.
Shunnie, wewe ndiyo umesababisha nijiunge JF ili niweze kupata chance ya kuwasiliana na wewe na kuweza kuonana kama itawezekana ili tuweke mambo sawa na kama tutaridhiana nipo tayari kabisa uwe mke wangu.
Shunnie najua hapo ulipo una mtu wako na kama haujawahi kutangaza ndoa basi tambua huyo hana lengo zuri na wewe.
Mrembo Shunnie naomba ufungue moyo wako ili unipe nafasi katika ulimwengu wako wa mahabati. Nami nijihisi kidume peke yangu katika ulimwengu huo.
Mpende akupendaye Shunnie.
Nakupenda sana Shunnie. Naomba unielewe. Malengo yangu kwako ni mazuri Mrembo Shunnie.Sita mere dating but dating ambayo mwisho wa siku itazaa tunda la ndoa.
Naomba unielewe Shunnie. Nakupenda sana. Usiku silali, nakuwaza wewe na hata nikilala simpati usingizi unaotakiwa maana muda wote nakuwaza wewe.
You really drive me crazy.... Shunnie.
Hongera sanaHabari wana MMU?

Shunnie ni me ,tena mwandishi wa story huko fesibuku page yake ina almost 58K