Nampenda sana Sky Eclat

Duuuh kweli umependa jamaaa. Lakini, hayo maelezo ya umbo lake ni kwa kuangalia avatar yake au ulishapata kumuona. Na je yeye pia anaijua cv yako au inabidi ajikite tu kwenye upendo unaoutamka humu. Ushauri kidogo, tafuta kila jinsi ya kuwasiliana nje ya hapa ili upate na yeye apate facts za kuwasaidia kufanya maamuzi. Ila kama ni mume na mke wa humu jf, not in real life! you have her already I suppose.
 
Dad we huwa hauoti kwani?
 
Halaf kesho na keshokutwa tuskie ooooh natafta mme.....wakat huyo hapoo kajileta mwenyeweeee.....hahaha


Cc: Sky Eclat
Wenye nia nzuri huwa tunakataliwa Mkuu.

Ila natumai huyu mrembo ambae ni my dream woman atanielewa tu hatoniangusha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…