DEFAMATION
Senior Member
- Jun 19, 2017
- 110
- 69
- Thread starter
- #21
Kupenda ni muda wowote Mkuu.Hata mwezi hujamaliza tangu ujiunge JF ushapenda
Tafuta movie Fulani inaitwa LOVE AT FIRST SIGHT utajifunza mengi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupenda ni muda wowote Mkuu.Hata mwezi hujamaliza tangu ujiunge JF ushapenda
All the bestKupenda ni muda wowote Mkuu.
Tafuta movie Fulani inaitwa LOVE AT FIRST SIGHT utajifunza mengi!
Hakuna tatizo Mkuu.Only seven days
Ahsante kwa kuja!Chonde chonde vijana kama unadhani jf ni fasibook sawa utakutana na Blackcock huta reta mrejesho tena huku.
Nimwishiwa pose mkuu sina la kusema, leo nimepatikana.Hahahaaa!! Ndoto zingine bwana!!!
Dad we huwa hauoti kwani?Duuuh kweli umependa jamaaa. Lakini, hayo maelezo ya umbo lake ni kwa kuangalia avatar yake au ulishapata kumuona. Na je yeye pia anaijua cv yako au inabidi ajikite tu kwenye upendo unaoutamka humu. Ushauri kidogo, tafuta kila jinsi ya kuwasiliana nje ya hapa ili upate na yeye apate facts za kuwasaidia kufanya maamuzi. Ila kama ni mume na mke wa humu jf, not in real life! you have her already I suppose.
Hebu mjibu mkaka wa watu bwana, sio unamuendea tu ndotoni!!Nimwishiwa pose mkuu sina la kusema, leo nimepatikana.
Haya baba kazi kwako but usisahau mrejeshoHakuna tatizo Mkuu.
Kumuelewa na kumpenda mtu haihitaji miaka mingi Mkuu.
Wenye nia nzuri huwa tunakataliwa Mkuu.Halaf kesho na keshokutwa tuskie ooooh natafta mme.....wakat huyo hapoo kajileta mwenyeweeee.....hahaha
Cc: Sky Eclat
Mleta uzi anadai kuwa una chura iliyobinuka, kuna ukweli wowote hapo ili na mimi niingie kwenye kinyang'anyiro jamani?[emoji30][emoji30][emoji30]I.m blushing mkuu
HahaahahaKijana utashushwa busha ww....huyu ana wengi