Nampenda sana Vanessa mdee

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,364
Reaction score
4,612
Habari zenu wakuu, navutiwa sana kimapenzi na vanessa mdee, mwenye namba yake au anaeweza kunikutanisha nae walau nmwambie kilicho moyoni mwangu anambie tafadhali, ni zaidi ya miezi sita sasa nmejikuta ananiingia moyoni lakini sasa nashindwa namna ya kumwambia kwa sababu ya usupastaa wake na kitoonekana kwake.. msaada wenu tafadhali huyu dada sijui nampataje lakini nampenda sana kiasi kwamba nashinda natizama video zake
 
nilikuwa nampendaga sana huyu dem ila siku kuja kumuona live dah! ni kembamba mno halafu hakana kimo kamekaukaa na suraya kawaida sio kama anavyoonekana kwenye picha aseee, kwakweli napendaga madem wembamba ila vanessa amezidi kukauka!! sijui hakali masikini ya Mungu au ndo dayati!!
 
Mtafutie Steve nyerere laki 2 na nusu na dompo wine 2 akuletee Vanessa mpaka chumbani.
 
Ujakutana nae tu..ukikutana nae live utabdili maamuzi!!
 
Van na ruby nani mwembamba
 
-Nyimbo yake mpya ya cash madam ni nzuri sana, ameufunga mwaka 2016 vizuri kwa ngoma kali.
-Jana kwenye EATV awards alipafom vizuri sana jukwaani
-Juhudi zake katika game la mziki litamfikisha mbali sana.
 
Unamtaka bila kujali kama ameolewa au laa?
 
Nilishawahi safiri nae akiwa na mpenz wake jux vee pesa mfupi kweli yaani
 
Kavanesa sikaelewi hasa nywele anazopenda kuweka kichwani ...ni nzito kuliko uzito wa mwili wake.Alafu naona kama hamheshimu jux kihivyo anahangaika.Kingine anashtua...ngwengwe
 
Mie Demu asiye na nyama nyama wezere inye gwedegwede mahaga huwa sina mvuto nao,Vmoney hana nyama mifupa tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…