Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Habari zenu wakuu, navutiwa sana kimapenzi na vanessa mdee, mwenye namba yake au anaeweza kunikutanisha nae walau nmwambie kilicho moyoni mwangu anambie tafadhali, ni zaidi ya miezi sita sasa nmejikuta ananiingia moyoni lakini sasa nashindwa namna ya kumwambia kwa sababu ya usupastaa wake na kitoonekana kwake.. msaada wenu tafadhali huyu dada sijui nampataje lakini nampenda sana kiasi kwamba nashinda natizama video zake