Kula Gwara.Mie Demu asiye na nyama nyama wezere inye gwedegwede mahaga huwa sina mvuto nao,Vmoney hana nyama mifupa tupu.
Duh.....laiti ungejua.....Jux mwenyewe hajampata anamzungusha bado subiri kwanza wapeane ndo na wewe uombe.
NinajuaDuh.....laiti ungejua.....
Ongea wewe mkuu. Yani hana mvuto hata sijui alizaliwa njiti ama?nilikuwa nampendaga sana huyu dem ila siku kuja kumuona live dah! ni kembamba mno halafu hakana kimo kamekaukaa na suraya kawaida sio kama anavyoonekana kwenye picha aseee, kwakweli napendaga madem wembamba ila vanessa amezidi kukauka!! sijui hakali masikini ya Mungu au ndo dayati!!
Hapo Mwenye chongo hamcheki mwenye kengezaVan na ruby nani mwembamba
teddy n dada ake na mshikaji....Mkuu mbona namba ya teddy mrema hiyo?
ni mfupi sana na dem akiwa mfupi anakuwa anakosa mvuto hata kama ana sura kama Cleopatra!!Nilishawahi safiri nae akiwa na mpenz wake jux vee pesa mfupi kweli yaani
wanafanya diet kumbe zinawaharibu! videm vya bongo vinajifanya vinafanya diet kula hawali lakini vinapenda sana ngono ndo maana vinaonekana vituko!!Ongea wewe mkuu. Yani hana mvuto hata sijui alizaliwa njiti ama?
Afu unaeza kuta anajiona mzurii...ila kuikweli uyo demu ni mbaya sana
wote ndo hao hao!Van na ruby nani mwembamba