Nampenda sana Vanessa mdee

Nampenda sana Vanessa mdee

Mie Demu asiye na nyama nyama wezere inye gwedegwede mahaga huwa sina mvuto nao,Vmoney hana nyama mifupa tupu.
Kula Gwara.

0b6c21557eaf0b581b3c36a2c3bede10.jpg


0b6c21557eaf0b581b3c36a2c3bede10.jpg
 
Unamtaka bila kujali kama ameolewa au laa?
Mimi hilo sijali,.. cha msingi nimwambie tu nampenda labda mzigo nlionao moyoni utapungua, nampenda sana ata sijui nieleze je
 
Jux mwenyewe hajampata anamzungusha bado subiri kwanza wapeane ndo na wewe uombe.
 
nilikuwa nampendaga sana huyu dem ila siku kuja kumuona live dah! ni kembamba mno halafu hakana kimo kamekaukaa na suraya kawaida sio kama anavyoonekana kwenye picha aseee, kwakweli napendaga madem wembamba ila vanessa amezidi kukauka!! sijui hakali masikini ya Mungu au ndo dayati!!
Ongea wewe mkuu. Yani hana mvuto hata sijui alizaliwa njiti ama?
Afu unaeza kuta anajiona mzurii...ila kuikweli uyo demu ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom