Jamani Wema sepetu Mimi hata wamsemeje nampenda Sana Ana roho nzuri Sana huyu mdada love you wema
Alafu yule shoga kajala nae sasa huna hata utu hukufikiria Wema alivyokusaidia kwa habari angalieni clip U turn blog alivyomuongelea kajala
nimechoka kabisa na habari za huyu muuza kabang loh
nimechoka kabisa na habari za huyu muuza kabang loh
JF express yourself....
Wema our Tanzanian Sweetheart
Mwambieni ache hii tabia maana alikuwa anaifanya kwa wapenzi boyfi pia... kideo link hii akimtukana mfanyakazi na kumpiga.
http://youtu.be/LuJiDbje1Ow
au
https://www.youtube.com/watch?v=LuJiDbje1Ow