Nampenda sana Wema Sepetu

Nampenda sana Wema Sepetu

"Binti pesa zako" Mzigo wa Ommy saiv uo! Akitoka ommy nadhani madogo wa Yamoto bendi na wao watachafua!
 
Najua Ana madhaifu yake mie namuombea mwanamke mwenzangu wema sepetu hakuna binadamu aliekamilika kila mtu Ana madhaifu yake ukiona mtu kakosea muombe acha kunyoshea watu vidole vitatu vinakuangalia weww je wewe?
 
Haya tuma salamu kwa watu kumi ukiwemo mwenyewee
 
Back
Top Bottom