Nampenda sana

chriss brown

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
292
Reaction score
63
Nampenda sana mpenzi wangu,wapendeni pia.siyo kila siku vilio,vitaisha lini..
 
Mi wa kwangu jana nilimpiga mkwara wa hatari, ghafla nikajikuta nampeleka mwenyewe Mount Meru Hosp kwa presha!
 
Mmmmh napita tu sina wa kunipenda mie
 
Mi wa kwangu jana nilimpiga mkwara wa hatari, ghafla nikajikuta nampeleka mwenyewe Mount Meru Hosp kwa presha!
Cpati picha naona pressure ilihamia kwako...siku ingine utachimba biti kishkaji mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…