chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
Nampenda sana mpenzi wangu,wapendeni pia.siyo kila siku vilio,vitaisha lini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh napita tu sina wa kunipenda mie
Mi cpendi mtu najipenda mwenyewe
Mi cpendi mtu najipenda mwenyewe
Daughter unatuchanganya kidogo. inamaana unajimaliza mwenyewe mwenyewe? fafanua hapo!
kujipenda ni lazima ujimalize mwenyewe?
kwani we ni nani chi mtu?Mi cpendi mtu najipenda mwenyewe
Cpati picha naona pressure ilihamia kwako...siku ingine utachimba biti kishkaji mkuuMi wa kwangu jana nilimpiga mkwara wa hatari, ghafla nikajikuta nampeleka mwenyewe Mount Meru Hosp kwa presha!
Mmmmh napita tu sina wa kunipenda mie