Nampenda Shunie wa JF

Mkuu hayo mapenzi yako ya mshumaa maana unampenda mtu usiyemjali,kwann hukumuokoa na kitanzi?je angekuwa kanyongwa ina maana hata usingejua,Anyway mfuate huko BAN-NI ukamtoe km kweli unampenda
Amepigwa ban kwa sababu gani mkuu?
 
Hapo umenena maana huwa kanaficha sura...basi kaoneshe walau wowowowowo kanaficha,eti kanatuonesha mgongo tu!ngoja atoke kifungoni silazi damu.
Alishatoka tangu jana wewe tu na uwezo wako wa kuongea
 
Shunie ndugu yangu najua unapenda hela hebu changamkia pesa za huyu mkulima wa mahindi hana cha kuzifanyia hizo pesa

alitaka kunipa trekta na pesa cash nimekataa mimi sasa kizuri kula na ndugu yako

usiseme sijakuambia angalia usipishane na gari la mshahara nakuaminia shunii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…