Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Aisee we Da'Vinci😀😀😀 Labda ndie shuni mwenyewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee we Da'Vinci😀😀😀 Labda ndie shuni mwenyewe...
Naaam Bwana Nelson...Aisee we Da'Vinci
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umeogopa kumtaja jina nimeshamfahamuKijana unatafuta bifu na kijana kutoka Gisenyi
Mimi sio shunie ila huwa nakatamani kale kadada we acha tu...sasa huyu aliyemuanzishia uzi huyu...ajiandae kisaikolojia.Naaam Bwana Nelson...
😀😀😀😀Mimi sio shunie ila huwa nakatamani kale kadada we acha tu...sasa huyu aliyemuanzishia uzi huyu...ajiandae kisaikolojia.
Huyo mkuu domo zege kavizia le totoz kala ban ndo anamuanzishia uzi.Ngoja aje kutoka kwenye kale kaban kake anakokatumikia
Amepigwa ban kwa sababu gani mkuu?Mkuu hayo mapenzi yako ya mshumaa maana unampenda mtu usiyemjali,kwann hukumuokoa na kitanzi?je angekuwa kanyongwa ina maana hata usingejua,Anyway mfuate huko BAN-NI ukamtoe km kweli unampenda
Hapo umenena maana huwa kanaficha sura...basi kaoneshe walau wowowowowo kanaficha,eti kanatuonesha mgongo tu!ngoja atoke kifungoni silazi damu.😀😀😀😀
Ila mnamu overate tu ni wakawida mno..
Ongea nae waweza kubeba mzigo
Kuna mtu kaji-cc sijui tumueleweje
cc. Nelson nely
Alishatoka tangu jana wewe tu na uwezo wako wa kuongeaHapo umenena maana huwa kanaficha sura...basi kaoneshe walau wowowowowo kanaficha,eti kanatuonesha mgongo tu!ngoja atoke kifungoni silazi damu.
Alipigwa ban kwa sababu gani happy?Ngoja aje kutoka kwenye kale kaban kake anakokatumikia
Hilo ban tulipigwa wengi tu sababu ya ule uzi wa grace alokuwa analialiaAlipigwa ban kwa sababu gani happy?
Ohoo sikujua mkuu wacha nithubutu!Alishatoka tangu jana wewe tu na uwezo wako wa kuongea
ok,poapoa!Hilo ban tulipigwa wengi tu sababu ya ule uzi wa grace alokuwa analialia
Sasa wadada wakawa wanampa za uso
Mods wakatutandika ban for character asasination sijui
😀😀😀😀😀 kweli bana alikuwa wapi siku zoteHuyo mkuu domo zege kavizia le totoz kala ban ndo anamuanzishia uzi.