Nampenda Simjui!!

Nampenda Simjui!!

Duh!!kweli!!ngoja nikirudi nitarudi na jibu!!Nitakwambia!!

But then again maybe usimtafute usije ukaharibu hizo feelings ulizonazo.... Just endelea kuwa na fantasy..... (cherish the moment)

Kuna movie moja (cant remember the name) watu walikutana kwenye wedding moja ikawa love at first sight, wakamatch and everything was great...... lakini yule dada hakutaka yule kaka achukue contacts zake akisema kwamba now what we have is a perfect love...... tukiendelea zaidi na kujuana tutadestory good memories....... "kwamba its better to have good memories... kuliko kuingia kwenye relation na kuwa dissapointed).

The aim of the story ni kwamba ni very rare imagination zikamatch na real life.... unless your are very lucky.....
 
well said vor....... almost destroyed my spirits once!
 
.......upendo huvumilia, hufadhili, ...., hauhusudu, hauhesabu mabaya........... (1 Kor 13:1-13). kama kweli kinachokusumbua ni upendo mshukuru Mungu, kwan pendo ni tunda la Roho
 
Back
Top Bottom