Nampenda Sky Eclat

Sasa si umfuate PM ukamwambia ukitangaza huku haitosaidia halafu unampenda kwa Upendo wa aina gani

Kirafiki
Kimapenzi
Kifamilia
Kiubinadamu n.k
 
Huyo dada ni pendwable, uko sahii mtoa uzi, nivizuri umesema hisia zako, natumaini dada amejisikia vizuri
 
na mimi nidandie uzi huuhuu kwa kusema namkubali kapeace kwa namna ya mtoa mada na si vinginevyo
 
Hata mie nampenda ila sio kama wewe,unampenda sana ila humuhitaji kimahaba...
 
Nimekusamehe sababu ya sentensi yako ya mwisho.

Usione vyaelea, vimeundwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…