Mfano kama na yeye akikupenda utafanyaje?Nimekuwa nikisoma comment na post zake mara nyingi ni dada flani hivi ambaye aki-comment napenda kusoma comment yake, yuko positive sana na haonekani anajiona au kujiskia.
Na yuko funny kwa kiasi fulani.
Nampenda sana, hiyo haimaanishi namuhitaji kimahaba, lengo langu la kusema ni kumfanya ajue tu jinsi nnavyohisi juu yake. Ajue kuwa kumbe kuna mtu anafurahia mno michango na mashauri yake.
Habari hii ikufikie kokote ulipo Sky Eclat, nakupenda sana.
NB: Ndugu zangu msinielewe vibaya, Sitafutagi mpenzi mtandaoni. Siwezi date na mtu nisiyemjua kwa undani.
Nimekuwa nikisoma comment na post zake mara nyingi ni dada flani hivi ambaye aki-comment napenda kusoma comment yake, yuko positive sana na haonekani anajiona au kujiskia.
Na yuko funny kwa kiasi fulani.
Nampenda sana, hiyo haimaanishi namuhitaji kimahaba, lengo langu la kusema ni kumfanya ajue tu jinsi nnavyohisi juu yake. Ajue kuwa kumbe kuna mtu anafurahia mno michango na mashauri yake.
Habari hii ikufikie kokote ulipo Sky Eclat, nakupenda sana.
NB: Ndugu zangu msinielewe vibaya, Sitafutagi mpenzi mtandaoni. Siwezi date na mtu nisiyemjua kwa undani.
CC:Asprin![emoji28][emoji28][emoji28]Asante sana
Sasa mbona hutaki kupunguza michepuko?[emoji1][emoji1][emoji1]Ahsante sana. Ila usidhani kwamba Sky Eclat hajaokota Tanzanite... kifupi ni kuwa tumepatana... soul and brain mates.
Moyo wa ze-dudu umekudondokea!Sina mume humu ila nina wachumba kibaoooo Bado nawafanyia utafiti
Na mimi nimo kwenye hiyo list?[emoji28][emoji28][emoji28]Sina mume humu ila nina wachumba kibaoooo Bado nawafanyia utafiti
Shukrani mkuuNampenda pia
Dada poa ina maana tofauti ingawa sina uhakika kama ni Kiswahili rasmi.Hapana mkuu umejitanabaisha kwa uzuri tu, ni mdada Poa hata mimi namkubali sana na hajisikii kiukweli
duh hii imekaa sawaNakupenda pia kasulamkombe
Tafsiri ya ubongo wako tuDada poa ina maana tofauti ingawa sina uhakika kama ni Kiswahili rasmi.
Haumo labda ujaze fomuNa mimi nimo kwenye hiyo list?[emoji28][emoji28][emoji28]
Aaah yule ana wengi simtakiMoyo wa ze-dudu umekudondokea!
nyota imekuwakia tehe tehe teheAsante sana
Ni baraka mkuunyota imekuwakia tehe tehe tehe
Hata mimi namfagilia , hasa baada ya yule first lady kuadimika humu. Sijui kama first lady yupo bado humu.Nimekuwa nikisoma comment na post zake mara nyingi ni dada flani hivi ambaye aki-comment napenda kusoma comment yake, yuko positive sana na haonekani anajiona au kujiskia.
Na yuko funny kwa kiasi fulani.
Nampenda sana, hiyo haimaanishi namuhitaji kimahaba, lengo langu la kusema ni kumfanya ajue tu jinsi nnavyohisi juu yake. Ajue kuwa kumbe kuna mtu anafurahia mno michango na mashauri yake.
Habari hii ikufikie kokote ulipo Sky Eclat, nakupenda sana.
NB: Ndugu zangu msinielewe vibaya, Sitafutagi mpenzi mtandaoni. Siwezi date na mtu nisiyemjua kwa undani.
Unaniharibia ujue...Sasa mbona hutaki kupunguza michepuko?[emoji1][emoji1][emoji1]
Asante mkuuHata mimi namfagilia , hasa baada ya yule first lady kuadimika humu. Sijui kama first lady yupo bado humu.