Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kweli Babu,Ahsante kiongozi
Tumeamrishwa tuwalinde ili watupende...
Juhudi uliyoifaynya ni kubwa hadi watu wanayaona matunda yake.
Be blessed!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Babu,Ahsante kiongozi
Tumeamrishwa tuwalinde ili watupende...
Kinyume na wewe mimi nipo tayari akinipa ofa mkuu.Nimekuwa nikisoma comment na post zake mara nyingi ni dada flani hivi ambaye aki-comment napenda kusoma comment yake, yuko positive sana na haonekani anajiona au kujiskia.
Na yuko funny kwa kiasi fulani.
Nampenda sana, hiyo haimaanishi namuhitaji kimahaba, lengo langu la kusema ni kumfanya ajue tu jinsi nnavyohisi juu yake. Ajue kuwa kumbe kuna mtu anafurahia mno michango na mashauri yake.
Habari hii ikufikie kokote ulipo Sky Eclat, nakupenda sana.
NB: Ndugu zangu msinielewe vibaya, Sitafutagi mpenzi mtandaoni. Siwezi date na mtu nisiyemjua kwa undani.
Mimi sitafuni maneno, mi niko kimahaba zaidi .huyo jamaa yako hata akitishia kujitoa tu, mi najiongeza.yaani kama fisi na mkono wa binadamu.Asante sana
NAMPENDA KAPEACE SASA SIJUI YEYENimekuwa nikisoma comment na post zake mara nyingi ni dada flani hivi ambaye aki-comment napenda kusoma comment yake, yuko positive sana na haonekani anajiona au kujiskia.
Na yuko funny kwa kiasi fulani.
Nampenda sana, hiyo haimaanishi namuhitaji kimahaba, lengo langu la kusema ni kumfanya ajue tu jinsi nnavyohisi juu yake. Ajue kuwa kumbe kuna mtu anafurahia mno michango na mashauri yake.
Habari hii ikufikie kokote ulipo Sky Eclat, nakupenda sana.
NB: Ndugu zangu msinielewe vibaya, Sitafutagi mpenzi mtandaoni. Siwezi date na mtu nisiyemjua kwa undani.
Nakupenda pia kasulamkombeNAMPENDA KAPEACE SASA SIJUI YEYE
Umepotea kiani mpenzi, unanitia ghofuNiko gud gud
Nipo shamba sweetheartUmepotea kiani mpenzi, unanitia ghofu
Mi mzanzibar pure.xna shaka utakua msandawe au muhadzabe wewe
Sawa my, naogopa kupinduliwa,Nipo shamba sweetheart
Waambie ww ni mkorea kaskazini uje uone km watasogeza puaSawa my, naogopa kupinduliwa,
kapeace wangu, nakutakia usiku mwema mpenziWaambie ww ni mkorea kaskazini uje uone km watasogeza pua