Nampenda Tatty

Ni kweli hii biashara ina changamoto nyingi, inahitaji ujasiri mkubwa usiogope mambo ya Polisi wala Mahakama maana hivi vyombo ni Kwa ajiri ya watu/mtu na mtu mwenyewe ndiyo wewe.

Mkuu, usiogope habari unazoziona au kuzisikia, fikiria hiyo siku limekamatwa gari 1 je, mangapi yalisafirisha mkaa mpaka town.

Change your thinking man.
 
Mi narudi kwenye main point huyu mdau wa mashairi ya napenda Tatty kaishia wapi? KamaVigezo na masharti vimembana alete mrejesho ili wengine tujilipue.
 
Itabidi nikutafute unipe ujuzi
 
W
Ni mzuri, mcheshi na mkarimu sana, ameniambia hata yeye ananipenda ila sijaamini na mbaya zaidi anasema ameolewa (nimeumia).

Natangaza rasmi kwamba nampenda sana na nipo tayari kwa lolote
Wewe ni muovu kabisa. Kama unajua kwamba ameolewa nini kinakufanya uzidi kumfuatilia? Jee wewe ungefurahi kama mke wako angekuwa anaandikwa kwenye vyombo vya habari kwamba anatamaniwa na njemba fulani? Acha ubaya huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…